Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 2.4.1 APK MOD (UNLOCK/Unlimited Money) Download

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 2.4.1 APK MOD (UNLOCK/Unlimited Money) Download

Description of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 2.4.1 APK MOD (UNLOCK/Unlimited Money) DownloadApp hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
Baadhi ya makosa yamerekebishwa

tz.co.wadau.tenzizarohoni

App Information of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

App Name Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 v2.4.1
Genre Books & Reference, Games
Size7.7 MB14.2 MB
Latest Version2.4.1
Get it On Google Play
Update2021-11-12
Package Nametz.co.wadau.tenzizarohoni
Rating ( 6534 )
Installs1,000,000+
Download APK (7.7 MB14.2 MB)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *